Karibu Gospo Media Limited

Tunaboresha kazi zako

Printing, graphics design, publishing, content creation, photography, video production, billboards na uandaaji wa matangazo.

Kuhusu Gospo Media

Gospo Media ni kampuni ya habari na ubunifu inayotoa huduma za printing, graphics design, publishing, content creation, photography, video production, billboards na uandaaji wa matangazo. Tunawasaidia wateja kuwasilisha ujumbe wao kwa picha, sauti na maandishi yanayogusa.

Ubunifu

Tunabuni nembo, mabango na maudhui yanayoeleweka na kuvutia.

Uzalishaji

Video, picha na uchapishaji kwa vifaa na ujuzi wa kitaalamu.

Ushirikiano

Tunafanya kazi nawe hatua kwa hatua hadi ufurahie matokeo.

Huduma zetu

Kuanzia wazo hadi bidhaa iliyokamilika, tunakamilisha kazi kwa ubora na kwa wakati.

Printing Services

Vipeperushi, mabango, kadi za biashara, fulana, kalenda na vifaa vya matangazo.

Graphics Design

Nembo, utambulisho wa chapa, brosha na michoro ya mitandao ya kijamii.

Publishing

Vitabu, majarida na ripoti: mpangilio wa kurasa hadi nakala zilizokamilika.

Content Creation

Maandishi, picha na video za kila wiki kwa Instagram, Facebook, YouTube na TikTok.

Photography

Picha za matukio, harusi, bidhaa, watu na kampuni, zilizohaririwa tayari kutumika.

Video Production

Matangazo, makala, video za matukio na video za muziki, hadi uhariri wa mwisho.

Billboards

Usanifu, uchapishaji na uwekaji wa mabango makubwa ya nje, chapa yako ionekane kila mahali.

Uandaaji wa Matangazo

Tangazo lako kwa sauti (redio, podcast), picha au video (TV, YouTube), hadi kukamilika.

Jinsi tunavyofanya kazi

Hatua nne rahisi, kutoka wazo lako hadi kazi mkononi.

01

Wazo

Unatueleza unachohitaji, tunakupa makadirio ya bei na muda.

02

Uzalishaji

Tunabuni, kupiga picha na kurekodi kulingana na mpango.

03

Uhariri

Unapitia rasimu, tunarekebisha hadi ufurahie.

04

Kukabidhi

Unapokea kazi iliyochapishwa au faili tayari kutumika.

Tuambie kuhusu kazi yako

Jaza fomu na ujumbe wako utatufikia moja kwa moja kupitia barua pepe.